SERIKALI YAAHIDI KUIPIGA JEKI NACTE


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dkt. Shukuru Kawambwa (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Consolata
Mgimba wakizinduzi jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya
Ufundi(NACTE) uzinduzi huo ulifanyika makao makuu ya NACTE Mikocheni jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt.
Shukuru Kawambwa (kushoto)akimsikiliza
kwa makini Katibu Mtendaji wa Baraza la
Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela wakati alipokuwa akimfafanulia jambo alipokuwa
mgeni rasmi kwenye hafla ya uzinduzi wa jengo
jipya la Mitihani lililopo makao makuu ya ofisi hiyo Mikocheni jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela
( aliyesimama) akifafanua jambo mgeni rasmi Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) wakati hafla ya
uzinduzi wa jengo
jipya la Mitihani lililopo makao makuu ya ofisi hiyo Mikocheni jijini Dar es
Salaam,mwishoni mwa wiki.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Consolata
Mgimba.
Katibu
Mkuu waWizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Sifuni Mchome akinongonezwa jambo na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa
la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela
wakati wa hafla ya uzinduzi wa
jengo jipya la Mitihani uliofanyika makao makuu ya ofisi hizo Mikocheni jijini
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati) na
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi, Mhandisi Steven Mlote wakimsikiliza kwa
makini Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt.Primus Nkwela wakati alipokuwa akisoma
lisala wakati wa hafla ya uzinduzi wa
jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) uliofanyika Mikocheni B jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la
Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela,
akisikilizwa jambo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) na wadau wengine
wa elimu wakati alipokuwa akielezea jinsi
walivyofanikiwa kujenga jengo hilo jengo hilo wakati wa uzinduzi wa jengo hilo jipya
la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) uliofanyika Mikocheni B jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment