PICHA MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira James Lembeli akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Kamati yake kwa Kipindi cha Mwaka 2014, Bungeni mjini Dodoma.



Mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola akichangia taarifa
za kamati zilizowasilishwa jana Bungeni mjini
Dodoma.

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne Kilango
Malecela akijibu maswali ya wabunge.
No comments:
Post a Comment