NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOSI MAKALA ATEMBELEA ENEO LA MRADI MKUBWA WA MAJI WA MWANGA/KOROGWE
| Naibu Waziri wa Maji ,Amos Makala akitembelea eneo la mradi mkubwa wa Maji unaojengwa katika kijiji cha Kirya wilayani Mwanga. |
| Naibu waziri wa Maji Amosi Makala
akizungumza jambo na meneja mshauri wa mradi Sharif Saleh mara baada
ya kukagua mitambo maalumu kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa mradi
huo. |
| Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akifurahia jambo na meneja mshauri wa mradi mkubwa wa maji wa Mwanga Korogwe Sharif Salehmara baada ya kuangalia maadalizi ya ujenzi wa mradi huo. |
No comments:
Post a Comment