Header Ads

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUZALIWA MWANZILISHI WA USKAUTI DUNIANI, LORD ROBERT STEVENSON SMYTH BADEN-POWELL, JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania,  Abdulkarim Shah (kulia) na Kiongozi wa Skauti, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Feb 21, 2015 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya Siku ya kuzaliwa Mwanzilishi wa Uskauti Duniani, Lord Rebert Stevenson Smyth Baden-Powell. Picha na OMR SHA2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti cha Nishani ya Juu, Skauti Barnaba Abel, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya kuzaliwa Mwanzilishi wa Uskauti Duniani, Lord Rebert Stevenson Smyth Baden-Powell, zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Feb 21, 2015. Kulia ni Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania,  Abdulkarim Shah na (kulia kwa Makamu) ni Rais wa Skauti Tanzania, Dkt. Shukuru Kawambwa. Picha na OMR SHA3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania, Abdulkarim Shah (kulia) na Rais wa Skauti Tanzania, Dkt. Shukuru Kawambwa (kulia kwa Makamu) wakisimama kupokea maandamano ya Vijana wa Skauti, yalipokuwa yakiingia kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya kuzaliwa Mwanzilishi wa Uskauti Duniani, Lord Rebert Stevenson Smyth Baden-Powell, leo Feb 21, 2015. Picha na OMR SHA4 
Vijana wa Skauti wakipita mbele ya jukwaa kuu kwa maandamano wakati wa sherehe hizo za maadhimisho hayo. Picha na OMR SHA5 

No comments:

Powered by Blogger.