MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMFARIJI JAJI MSTAAFU AGOSTINO RAMADHANI KWA KUFIWA NA MAMA YAKE MSAZI
Maka wa Rais wa Jamhuri ya M uungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akiwafariji wana familia ya Jaji Mkuu
mstaafu Agostino Ramadhani alipomtembelea nyumbani kwake Kimara leo Februar 06,
2015, kutokana na kufiwa na mama yake
mzazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Jaji Mkuu mstaafu
Agostino leo alipomtembelea nyumbani
kwake kimara leo Februar 06, 2015 kwa ajili ya kumfariji kutokana na
kufiwa na
mama yake mzazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Jaji Mkuu mstaafu
Agostino Ramadhani Baada ya kumfariji kutokana na kufiwa na mama yake mzazi alipomtembelea
nyumbani kwake Kimara leo Februar 06, 2015. (Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment