DKT.SHEIN, DKT. BILAL WAONGOZA MAZISHI YA MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI SALMIN AWADHI SALMIN, MAKUNDUCHI ZANZIBAR

Rais
wa Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, akiweka udongo katika kaburi la
marehemu Salmin Awadh Salmin, wakati wa shughuli za maziko yake
zilizofanyika katika kijiji cha Makunduchi mjini Zanzibar jana Feb,
2015.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka udongo katika kaburi la marehemu Salmin Awadh Salmin, wakati wa
shughuli za maziko yake zilizofanyika katika kijiji cha Makunduchi
mjini Zanzibar jana Feb, 2015.

Baadhi
ya Viongozi wa juu wa Serikali, wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria
maziko ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar,
marehemu Salmin Awadh Salmin, huko Makunduchi mjini Zanzibar. Marehemu
Salmin amezikwa leo Feb, 20, 2015 kijijini kwake Makunduchi Zanzibar.
No comments:
Post a Comment