Rais Jakaya Kikwete Asherekea na Wananchi Katika Kuukaribisha Mwaka Mpya 2015 Kijijini Msoga,Chalinze,Mkoa wa Pwani.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Chalinze Mhe
Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika kuukaribisha mwaka mpya
kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Chalinze Mhe
Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika kuukaribisha mwaka mpya
kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa Mashekhe wa
Bagamoyo na wananchi kwa kumuandalia hafla ya kumuombea dua katika
mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii ya wamasai
wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni Tikwa
Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono katika
hafla ya kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze.Picha na
IKULU
No comments:
Post a Comment