Picha na Taarifa: Vigogo watatu kutoka katika taasisi tatu nyeti za Serikali wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam Leo Wakituhumiwa Kuhusika katika Sakata la Uchotwaji wa Mabilioni ya Fedha kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow ni kutoka Tanesco,TRA na BOT..

Wahusika
katika sakata la Escrow wakitinga katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar
es Salaam wakiongozwa na polisi na mawakili leo Jijini Dar es Salaam
---
Vigogo watatu kutoka katika taasisi tatu nyeti za Serikali
wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam wakituhumiwa
kuhusika katika sakata la uchotwaji wa mabilioni ya fedha kutoka katika
akaunti ya Tegeta Escrow.
Vigogo waliofikishwa mahakamani hapo leo, kutoka Benki Kuu Tanzania (BoT) Steven Urassa, Shirika la umeme (Tanesco) Kyabukoba Rutabingwa, na kutoka Mamlaka ya Mapato ( TRA) ni Julius Angelo ambaye amekosa dhamana.
No comments:
Post a Comment