Ripoti
kutoka Niger zinasema kuwa makanisa matatu yamechomwa katika mji mkuu
wa Niamey katika siku ya pili ya maandamano dhidi ya uchapishaji wa
vibonzo vya mtume Mohammed uliofanywa na gazeti la vibonzo la Charlie
Hebdo.
Baadhi ya biashara zimeripotiwa kushambuliwa kama vile vibanda vya kampuni ya simu ya Orange.
Ubalozi wa Ufaransa umewataka raia wake wanaoishi mjini Niamey kusalia majumbani mwao
Maandamano dhidi ya uchapishaji wa vibonzo vya mtume Mohammed nchini Niger.
Ripoti
kutoka Niger zinasema kuwa makanisa matatu yamechomwa katika mji mkuu
wa Niamey katika siku ya pili ya maandamano dhidi ya uchapishaji wa
vibonzo vya mtume Mohammed uliofanywa na gazeti la vibonzo la Charlie
Hebdo.
Baadhi ya biashara zimeripotiwa kushambuliwa kama vile vibanda vya kampuni ya simu ya Orange.
Ubalozi wa Ufaransa umewataka raia wake wanaoishi mjini Niamey kusalia majumbani mwao.
Hawa ndiyo wandishi wa jarida la Charlie Hebdo ambao wamechapisha tena picha ya kibonzo cha mtume Muhammad.
Polisi wa kukabiliana na ghasia
kwa sasa wameweka ulinzi mkali katika kanisa la Cathedral mjini humo
ambapo makundi ya vijana wanaowarushia mawe.
Msomaji akisoma Jarida la Charlie Hebdo amblo limewakera waisilamu kote duniani.
Siku ya ijumaa watu wanne walifariki
huku wengine 45 wakijeruhiwa baada ya waandamanaji kuyapekua makanisa
matatu kabla ya kuyachoma mbali na kukichoma kituo kimoja kilicho na
utamaduni wa Ufaransa huko Zinder.BBC
KIBONZO KILICHOCHORWA NA JARIDA LA CHARLE HEBDO JUU YA MTUME MOHMMED CHASABABISHA MAKANISA KUCHOMWA MOTO.
Reviewed by
crispaseve
on
12:41 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment