WAZIRI MEMBE ASHIRIKI MAZOEZI YA JOGGING,AKIMBIA KILOMETA NANE
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh Bernad Membe akikimbia
katika mazoezi ya JOGGING,yaliyofanyika leo jijini Dar,katika mazoezi
hayo Mh. Membe alifanikiwa kukimbia kilometa nane na ushehe,zilizokuwa
zimepangwa.Aidha Jogging hiyo ilishirikisha club za Jogging 83 kutoka
mkoa mzima wa jiji la Dar.Jogging hiyo iliandaliwa na club ya Jogging ya
Mikocheni.Pichani kwa Waziri Membe ni Meya wa Manispaa ya
Kinondoni,Mh.Yusufu Mwenda
No comments:
Post a Comment