Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Selina
Kombani (wa pili kushoto) akifungua Kongamano la Kujadili namna ya
kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye ulemavu
Mkurugenzi Mtendaji wa Tasisi ya Seed Trust, Magreth Mkanga (MB), (wa
pili kutoka kushoto) akizungumza katika mkutano wa Kongamano la Kujadili
namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye
ulemavu.
Baadhi ya washiriki wa kongamano la Kujadili namna ya kukabiliana na
vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye ulemavu wakiwa katika
mkutano huo leo mjini Morogoro.
Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi.
Mary Massay (wa pili kushoto) akizungumza katika Kongamano la Kujadili
namna ya kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye
ulemavu.
Baadhi ya washiriki wa kongamano la Kujadili namna ya kukabiliana na
vitendo vya ukatili kwa wanawake na watuwenye ulemavu wakiwa katika
mkutano huo leo mjini Morogoro.
Waziri Kombani aipongeza Seed Trust kuwapigania haki za walemavu
Reviewed by
crispaseve
on
1:53 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment