Soma Alichokiandika Prod mkali tanzania Charles Francis charles a.k.a C9 Kanjenje

Producer C9


Pichani ni nyumba aliyekulia mkali huyu
Kijiji cha Matimila, mji wa Songea mkoa wa Ruvuma ndiko alikozaliwa Prod
mkali tanzania Charles Francis charles a.k.a C9 Kanjenje. Pichani ni
nyumba aliyekulia mkali huyu kabla ya kuelekea zanzibar kujiunga na O
level, kisha A level. Lipaya ndiko aliko soma darasa la kwanza mpka la
saba nakujiunga ktk secondary ya privete Lighano Seminary. Mbali na
kupata umaarufu na kufanikiwa kumiliki studio kubwa bongo, mkali huyu
bado anakuthamini nyumbani na kutoa sapoti kwa vipaji vya nyumbani....
Kujua mengi kuhusu mkali huyu na mengine mengi, tembelea page yetu ya C9
record's.k
No comments:
Post a Comment