Balozi
wa PSPF Bw.Mrisho Mpoto alionesha tuzo iliyotolewa na Taasisi ya
Kimataifa ya kusimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (ISSA) kwa Mfuko wa
Pensheni wa PSPF kwa ajili ya kwa kutumiaTeknolojia ya Habari na
Mawasilino katika utunzaji wa kumbukumbu za wateja na kwa kuwasiliana na
wateja wake kwa kutumia simu za mikonono, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa
PSPF Bw. Adam Mayingu.
PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE
Reviewed by
crispaseve
on
7:54 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment