Picha Rasmi Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Afanya Kisomo Kumshukuru Mwenyezi Mungu Baada ya Kupoma

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya Mashekhe na wageni
waliohudhuria hafla ya kisomo maalum cha Kumshukuru Mwenyezi Mungu baada
ya kufanyiwa upasuaji na kurejea nyumbani salama kilichofanyika katika
viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam jana

Mjukuu
wa Rais, Ayman Ridhiwani Kikwete akicheza kwa furaha wakati Babu yake
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru wageni na Mashekhe
waliohudhuria hafla ya kisomo maalum kilichofanyika katika viwanja vya
ikulu jijini Dar es Salaam jana

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya Mashekhe na wageni
waliohudhuria hafla ya kisomo maalum cha Kumshukuru Mwenyezi Mungu baada
ya kufanyiwa upasuaji na kurejea nyumbani salama kilichofanyika katika
viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam jana

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mjukuu wake Ayman Ridhiwani
Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kumalizika kisomo
cha shukran kwa Mwenyezi Mungu kiklichofanyika ikulu jijini Dar es
Salaam Jana. Picha na Fredy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment