Header Ads

NesiWangu Show...........Malaria Kit











NesiWangu
Show ni kipindi kinachokusudia kuongeza mwako katika uwanja wa Afya,
upatikanaji wa huduma zake na elimu-afya kwa jamii.



Katika
kipindi hiki, tunazungumza na Mkurugenzi wa Jenga Tanzania Foundation,
Nassor Basalama anayezungumzia kuhusu kipimo cha Malaria ambacho Jenga
Tanzania Foundation inapanga kukisambaza bure kwa watu wa kipato cha
chini nchini Tanzania.

Karibu uungane nasi
 

No comments:

Powered by Blogger.