Naibu
Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Stephen Masele
(aliyesimama katikati) akishuhudia halfa fupi ya kusaini makabidhiano ya
eneo la Mgodi wa Resolute kwa Chuo cha Madini Dodoma. Wa kwanza kushoto
ni Mkuu wa Chuo cha Madini Dodoma, Mjiolojia Mwandamizi Subian
Chiragwile, katikati ni Kaimu Kamishna wa Madini Mhandisi Ally Samaje,
na kushoto ni Meneja Mkuu wa Mgodi wa Resolute Peter Beilby. Wengine
wanaoshuhudia ni Mkuu wa Wilaya ya Nzega Bintuni Msangi (wa pili kuchoto
aliyesimama),Mkurugenzi Kampuni ya Resolute Rose Aziz na baadhi ya
waliohudhuria.
Meneja
Mazingira baada Mgodi wa Resolute Jackie Sinclair (Kulia),
akimkabidhi funguo mbalimbali za majengo ya eneo la mgodi wa Resolute
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini) Stephen Masele (Kushoto) mara
makabidhiano ya eneo la mgodi.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini Stephen Masele (kushoto) akimkabidhi Mkuu
wa Chuo cha Madini Dodoma Mjiolojia Mwandamizi Subian Chirangilwe funguo
mbalimbali za majengo ya mgodi wa Resolute kwa ajili ya Chuo cha Madini
Dodoma.
Mgodi wa Resolute wakabidhi eneo la Mgodi kwa Chuo cha Madini Dodoma, Masele asema tukio hilo limefungua ukurasa mpya
Reviewed by
crispaseve
on
8:08 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment