Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa (kulia)
akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga
stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa na Benki ya Posta
Tanzania (TPB).
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa
akibandika kwenye basi moja ya stika za taarifa za usalama barabarani
zilizotolewa kwa msaada na TPB. Pembeni yake ni Kamanda wa Kikosi cha
Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga akibandika
kwenye basi moja ya stika za taarifa za usalama barabarani zilizotolewa
kwa msaada na TPB.
Kamanda Mpinga apokea stika za Usalama Barabarani
Reviewed by
crispaseve
on
4:00 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment