TICTS YAKABIDHI MSAADA WA VITABU KWA SHULE YA MSINGI MIVINJENI JIJINI DAR
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Kampuini ya Ushushaji Mizigo Bandarini Tanzania
International Cpontainer Termi nal (Ticts) Paul Wallace akipeana mikono
na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mivinjeni baaada ya kuwakabidhi msaada
wa vitabu.
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Kampuini ya Ushushaji Mizigo Bandarini Tanzania
International Container Terminal (Ticts) Paul Wallace akiwakabidhi
Vitabu wanafunzi wa Shule ya msingi Mivinjeni .
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini Tanzania
International Container Terminal (Ticts), Paul Wallace (kushoto)
akimkabidhi Moja ya Vitabu walivyokabidhi kwa Mwalimu Mkuu ya Shule ya
Msingi Mivinjeni Dar es Salaam, Sabas Selestian juzi wapili (kulia) ni
Diwani wa Kurasini, Wilfred Kimath na Mwenyekiti wa Bodi shule hiyo,
Elijius Anold.
No comments:
Post a Comment