Kamishna wa Polisi Jamii,Musa Ali Musa akiwa ameambatana na kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro SACP ,Robert Boazwakitembelea maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukagua ujenzi wakituo kipya cha polisi.… Kamishna wa Polisi Jamii,Musa Ali Musa akiwa ameambatana na kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro SACP ,Robert Boazwakitembelea maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukagua ujenzi wakituo kipya cha polisi.Kamanada wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACPRobert Boaz akizungumza na maofisa wa Polisi wa kada mbalimbali katikawilaya ya Mwanga (hawako pichani)kabla ya kumkaribisha kamishna waPolisi jamii nchini ,CP ,Musa Ali Musa.Kamishna wa Polisi jamii Nchini,Musa AliMusa akizungumza na maofisa wa Polisi wa kada mbalimbali katika wilayaya Mwanga (hawako pichani).
KAMISHNA WA POLISI JAMII NCHINI,MUSA ALI MUSA AFANYA ZIARA WILAYA YA MWANGA
Reviewed by crispaseve
on
3:06 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment