Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwasili Bungeni alipokuwa anaenda kuwasilisha hotuba ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 mjini Dodoma. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa amenyanyua Mkoba wenye Bajeti ya Serikali alipokuwa anaenda kuwasilisha hotuba ya mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 Bungeni mjini Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiingia ukumbi wa Bunge kwa ajili ya Bunge hilo kusomewa hotuba ya Bajeti ya Serikali na Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum mjini Dodoma. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akisindikizwa na askari wa Bunge kwenda kusoma Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015 Bungeni mjini Dodoma. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akifungua Mkoba wenye Bajeti ya Serikali ili aanze kuisoma. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwasilisha hotuba ya mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 Bungeni mjini Dodoma.
Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwasili Bungeni alipokuwa anaenda kuwasilisha
hotuba ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na
matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 mjini Dodoma.
Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa amenyanyua Mkoba wenye Bajeti ya Serikali
alipokuwa anaenda kuwasilisha hotuba ya mapendekezo ya makadirio ya mapato na
matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 Bungeni mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiingia ukumbi wa
Bunge kwa ajili ya Bunge hilo kusomewa hotuba ya Bajeti ya Serikali na Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum
akisindikizwa na askari wa Bunge kwenda kusoma Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa
fedha 2014/2015 Bungeni mjini Dodoma.
Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum akifungua Mkoba wenye Bajeti ya Serikali ili aanze
kuisoma.
No comments:
Post a Comment