RAIS KIKWETE AONGOZA MKUTANO WA KAMATI YA VIONGOZI WA AFRIKA KUHUSU TABIA NCHI
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika Mkutano wa Kamati ya Viongozi wa Afrika
Kuhusu Tabia Nchi ulioitishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe
Ban Ki-moon pembeni mwa mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika mjini
Malabo, Equatorial Guinea leo Juni 27, 2014.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment