MAADHIMISHO YA SIKU YA SIKO SELI DUANIANI YAFANYIKA DAR KWA UZINDUZI WA KILINIKI YA WATOTO.
Mkurugenzi
wa Idara ya Uboreshaji Afya wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA),
Dk Sarah Maongezi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kliniki ya watoto
wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sikoseli Duniani yalifanyika katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam jana. Wengine kutoka
kushoto ni Mkuu wa Idara ya Maabara, Dk. Alex Magesa, Mwenyekiti wa
Mfuko wa Sikoseli Tanzania, Grace Rubambey na Mkurugenzi waTiba wa
Hospitali ya Muhimbili, Dk Hedwiga Swai na kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili (MUHAS), Profesa Eligius Lyamuya..
Mkurugenzi
wa Idara ya Uboreshaji Afya wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA),
Dk Sarah Maongezi akihutubia wakati wa maadhimisho hayo jijini Dar es
Salaam jana.
Mwenyekiti
wa Mfuko wa Sikoseli Tanzania (TSCF), Grace Rubambey akitoa takwimu
kuhusu hali ya ugonjwa nchini. Tanzania ni nchi ya tano kuwa na wagonjwa
wengi duniani ambao karibu watoto 11,000 huzaliwa na sikoseli kila
mwaka.
No comments:
Post a Comment