BRAVO YAANZA KUPELEKA MADEREVA KWENDA KUFANYA KAZI DUBAI
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akimpatia mkazi wa Dar
es Salaam, Badrudin Alidina tiketi ya ndege na vibali vya kwenda
kufanya kazi ya udereva Dubai, Falme za Kiarabu katika hafla ya kampuni
ya Bravo Job Centre Agency ya kuwapatia tiketi madereva watano kwenda
kufanya kazi hiyo. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam, ambapo pia
Wanawake watano pia walipatiwa tiketi na vibali vya kwenda kufanya kazi
mbalimbali Qatar Uarabuni. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Maneno Tamba akipokea vibali hivyo kutoka kwa Mtemvy ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bravo Job Centre Agency.
Hamud Ramadhan akipokea vila tayari kwa safari hiyo.
Salum Rashid akipokea vibali
Khatib Mohamed Khatib naye kaipokea hati mbalimbali za kumruhusu kufanya kazi ya udereva Dubai.
Mkazi wa Dar es Salaam, Rahma Salehe akipokea tiketi na vibali vya
kwenda kufanya kazi Qatar, Falme za kiarabu, walioyotafutiwa na kampuni
hiyo ya Bravo
Mkazi wa Dar es Salaam, Hindu Khamis akipokea tiketi na vibali vya
kwenda kufanya kazi Qatar, Falme za kiarabu, walioyotafutiwa na kampuni
hiyo ya Bravo. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG







No comments:
Post a Comment