BALOZI MODEST MERO AFANYA MAZUNGUMZO NA MH. DKT. SEIF RASHID, WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII
Mh.Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii katika mazungumzo na Balozi Mero, kwenye makazi ya balozi, Geneva, Uswisi.
Wakijiandaa kupata mlo wa pamoja baaada ya mazungumzo…
Wakijiandaa kupata mlo wa pamoja baaada ya mazungumzo…
Mh.Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii katika mazungumzo na Balozi Mero, kwenye makazi ya balozi, Geneva, Uswisi. Wakijiandaa kupata mlo wa pamoja baaada ya mazungumzo Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh.Dkt. Seif Rashid, Balozi Mh. Modest Mero
na Mrs. Rose Mero na msaidizi wa Waziri katika picha ya pamoja
Hivi karibuni Mh. Modest Mero, Balozi wa Tanzania, Geneva alifanya
mazungumzo ya pamoja na Mh. Dkt. Seif Rashid na Bi. Agness Kijazi,
katika makazi ya Balozi, Geneva.Ujumbe wa Mh.Waziri ulikuwa Geneva kwenye kikao cha Bodi ya " Global Alliance for Vaccines and Immunization", Geneva, ambapo Mh. Waziri ni mjumbe wa Bodi. Na pia ujumbe wa Mkurugenzi wa Hali ya Hewa upo Geneva kuhudhulia kikao cha 60 cha kamati kuu ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani (World Meteorological Organization).
No comments:
Post a Comment