Wanaharakati Waandamana jijini Dar es salaam Kupinga Utekaji wa Wasichana Nigeria
Mkurugenzi
wa WiLDAF, Dk. Judith Odunga, akizungumza kupinga ukatili uliofanywa
kwa wanafunzi wa kike kutekwa na kitendo cha Jeshi la Polisi nchini
Tanzania kuzuia maandamano hayo ya wanaharakati.
Viongozi wakuu wa Mtandao wa Mashirika Huru ya Kijamii (CSOs) wakipokea
mabango yenye jumbe anuai za kupinga vitendo vya kikatili vilivyofanywa
na wanamgambo wa Boko Haram.
Baadhi ya wanafunzi wa kike na wanaharakati wakiandamana kupinga
vitendo vya kikatili vinavyofanywa na kundi la wanamgambo wa Boko Haram. Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment