Kutoka Gazeti la Mwananchi LEO:Jaji Samatta, Prof Lumumba kutumika kuwarejesha Ukawa bungeni

Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Barnabas Samatta
--
Wiki hii Bunge Maalumu la Katiba limeahirishwa, kupisha Bunge la
Bajeti kuanza vikao vyake vya bajeti kwa mwaka mpya wa fedha wa
2014/15.
Hata hivyo, Bunge hilo limeahirishwa likiwa
limegawanyika vipande, baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa) kutoka nje ya Bunge hilo Aprili 16, wakipinga kejeli,
matusi na mambo mengine ya ukiukwaji wa taratibu yaliyokuwa yakifanywa
na baadhi ya mawaziri nje ya Bunge.
No comments:
Post a Comment