Header Ads

INASIKITISHA : BINTI APIGWA MAWE NA BABA YAKE MPAKA KUFA NCHINI PAKISTAN, KISA?


Mtikhani 
Polisi nchini Pakistan wamemkamata na kumfungulia mashtaka mwanaume mmoja anayetuhumiwa kumpiga hadi kumuua binti yake nje ya mahakama kuu ya nchi hiyo .
Mtu huyo akiwa na kundi la watu 20, inasemekana walimpiga kwa mawe na vitu vingine vyenye ncha kali ‘Farzana Iqba’ l baada ya kuolewa na hatimaye kupatiwa ujauzito na mwanamme ambaye hakutakiwa na baba yake ingawa mwanaume huyo inasemekana alifanikiwa kutoroka.

Wanawake wamekuwa wakipigwa hadi kufa hadharani nchini Pakistan kwa kile kinachodaiwa kulinda heshima ya dini hasa wanapoolewa na watu wasiokubali katika jamii yao.

No comments:

Powered by Blogger.