SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA YA GALAXY S5 IKILENGA MAMBO MUHIMU YA WATEJA WAKE

Mr.
Silvester Manyara (Meneja wa Simu za mkononi wa Samsung Tanzania)
akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi simu mpya inavyopima mapigo yake
ya moyo. Pembeni yake ni Mr. Kishor Kumar (Meneja wa kitengo cha simu na
mambo ya teknohama wa Samsung Tanzania)

Mr. MR. DONGHA JANG (Mkurugenzi
Mtendaji wa Samsung Tanzania) akionyesha Simu mpya ya Samsung galaxy S5
wakati wa uzinduzi wa simu hiyo. Pembeni yake ni Mr. Kishor Kumar
(Meneja wa kitengo cha simu na mambo ya teknohama wa Samsung Tanzania)

Team
ya Samsung Tanznia Bw. Silvester Manyara, Bw. Jang na Bw. Kishor Kumar
kwenye picha ya pamoja wakionyesha Simu mpya ya Galaxy S5 iliyozinduliwa
rasmi hapa Dar es Salaam

Waandishi wa habari pamoja na wateja wakishuhudia uzinduzi wa simu mpya ya Samsung galaxy S5
No comments:
Post a Comment