RAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA ZIARA MKOANI KILIMANJARO
| Baadhi ya wanannchi wakiwemo makada wa chama cha mapinduzi wakiwa Ikulu ya Moshi kungojea rais Jakaya Kikwete. |
| Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na Niabu Meya wa manispaa ya Moshi Dk Mmbando ikulu ya mjini Moshi. |
| Rais Kikwete akiwasili ikulu mjini Moshi akipokelewa na mwenyeji wake mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi. |
| Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi pamoja na wananchi waliofika ikulu ya Moshi. |
| Baadhi ya wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wa chama na serikali. |
| Baadhi ya wageni wakisalimiana. |
No comments:
Post a Comment