 |
| Ofisa
muendeshaji wa Mfuko wa pensheni wa mashirika ya umma PSPF, Bw, Hadji
Jamadary kushoto akimwelekeza kujaza fomu Shabani Maganga wakati wa
mahadhimisho ya siku ya usalama na afya kazini yaliyofanyika viwanja vya
mnazi mmoja Dar es salaam |
Afisa
muendeshaji wa mfuko wa pensheni wa mashirika ya uma PSPF Bw, Lule
Kasembwe kushoto akitoa maelekezo kwa wazee waliojitokeza
 |
| Ofisa
muendeshaji wa PSPF Hadji Jamadary kushoto akiwapatia maelezo ya jinsi
ya kujiunga na PSPF wakati wa mahadhimisho ya siku ya usalama na afya
kazini yaliyofanyika viwanja vya mnazi mmoja Dar es salaam |
No comments:
Post a Comment