PICHA ZA MAZISHI YA GURUMO KISARAWE MKOANI PWANI.
Mamia ya Wadau , mashabiki na wapenzi wa muziki wa dansi
wamempumzisha salama mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Maalim
Muhidin Gurumo kijijini kwao Masaki – Kisarawe mkoani Pwani.
Katika mazishi hayo, wasanii wa bendi mbalimbali nchini na wale waliowahi kufanya nae kazi waliweza kuhudhuria, ingawa mahudhurio kwa upande wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya haikuridhisha, ukilinganisha na wasanii wa fani nyingine.
No comments:
Post a Comment