Header Ads

PICHA RASMI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA:KAMAZI ZA BUNGE MAALUM ZAWASILISHA MAONI YA SURA YA KWANZA NA SITA YA RASIMU YA KATIBA MPYA BUNGENI MJINI DODOMA


  Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Bunge tayari kwa ajili ya kuongoza kikao cha Bunge hilo jana mjini Dodoma.
  Msemaji wa walio wachache wa Kamati namba kumi (10) Profesa Ibrahim Lipumba, akiwasilisha maoni ya wachache kuhusu sura ya kwanza na sita ya Katiba mpya jana mjini Dodoma.
  Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba kumi (10) Salmin Awadh Salmin, akiwasilisha uchambuzi wa Kamati yake wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya jana mjini Dodoma.
 Mwenyekiti  wa Kamati namba moja Ummy Ally Mwalimu akiwasilisha uchambuzi wa Kamati yake wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya jana mjini Dodoma. 


  Baaadhi ya wa wajumbe wa bunge maaalum la katiba wakiwa wamesimama kwa nyakati tofauti wakimkatiza Mwenyekiti  wa Kamati namba moja Ummy Ally Mwalimu,wakimtaka mwenyekiti wa bunge amtake Ummy mwalimu kusoma mapendekezo ya kamati badala ya kuwasilisha kwa mfumo wa kutosoma
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Bunge tayari kwa ajili ya kuongoza kikao cha Bunge hilo jana mjini Dodoma. Picha na Bunge la Katiba Maalum

No comments:

Powered by Blogger.