Header Ads

Picha Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais-IKULU:Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal Apanda Mti ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya kupanda miti Kitaifa


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal, akipanda mti wa Mwembe nje ya Ofisi yake mpya ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya kupanda miti. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais-IKULU 

No comments:

Powered by Blogger.