NMB YATOA MADAWATI MJINI ZANZIBAR
Bw. Jaha Khamis Saidi, Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kitope akimshukuru
Kaimu Meneja wa tawi la NMB Zanzibar, Bakar Mohamed baada ya kupokea
madawati kutoka benki ya NMB. Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka
NMB kwa shule ya msingi Kitope ili kupunguza uhaba wa madawati unaoikumba
shule hiyo.
No comments:
Post a Comment