MASIKINI TWIGA WETU.!
Pichani ni Maofisa wa TANAPA ndani ya Hifadhi ya Wanyama ya Katavi,Wakiwa
wamenaswa na Camera ya Globu ya Jamii,ilipokuwa imetoka kwenye kazi
maalum Wilayani Mlele mkoani humo na kukumbana na tukio hilo la Maofisa
hao wakimtazama Twiga aliyegongwa na gari na kufa papo hapo,katika tukio
hilo la huzuni kubwa,gari iliyohusika na ajali hiyo halikujulikana mara
moja.
Maofisa
wa TANAPA waliokuwa doria hifadhini,wakitafakari jambo mara baada ya
kumkuta Twiga akiwa amegongwa na kufa papo hapo jioni ya leo ndani ya
Hifadhi ya Wanyama Katavi.
No comments:
Post a Comment