KINANA AAHIDI KUZITAFUTIA UFUMBUZI KERO ZA WAFANYABIASHARA SUMBAWANGA
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wafanyabiashara wa Mji
wa Sumbawanga, kuhusu matatizo mbalimbali ikiwemo utitiri wa kodi na
jinsi wanavyosumbuliwa na maofisa biashara pamoja na malalamiko yao
kuhusu mashine za TRA.Mazungumzo hayo yalifanyika leo katika Jengo la
Chama cha Walimu, mjini Sumbawanga.
| MfanyabiasharaWillington Kiziba akilalamika mbele ya Kinana kuhusu kodi nyingi za biasshara na mazao ya kilimo. |
Mfanyabiashara Nobert Mbala akielezea mbele ya Kinana jinsi wanfanyabiashara wanavyonyaswa
Honory Daud naye akielezea jinsi wanyabishara wanavyonyanyaswa kiasi cha kuichukia Serikali
| Mfanyabiashara Martine Tulo akilalamikia kitendo cha Manispaa kuweka kodi ya Fire wakati wa ununuzi wa viwanja |
![]() Meya wa Manispaa ya Sumbawanga, Sabas Katepa akikiri mbele ya Kinana na wafanyabiashara kuhusu mpangilio mbovu wa kodi na malipo ya leseni na kuahidi kuyafanyia maboresho haraka |
Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, naye akikiri mbele ya Kinana kutowashirikisha wafanyabiashara kupanga kodi mbalimbali
| Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Aeshi akikubali kuwepo matatizo hayo na kuahidi kusaidiana na Kinana kupata ufumbuzi wa kero hizo ikiwemo ya mashine za TRA |
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Sumbawanga Mjini, Emmanuel Kilindu akitembelea
magongo alipokuwa akitoka kwenye mkutano na wafanyabiashara
Kinana (wa pili kuliai)akiwa na maofisa wengine wa CCM wakitoka kwenye mkutano na wafanyabiashara wa Mji wa Sumbawanga


No comments:
Post a Comment