Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure akutana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka jijini Dar leo
Katibu
wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) akitia
saini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka jijini Dar es Salaam kwa
mazungumzo.Kushoto ni Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania.
Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje
ya Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) akizungumza na Wazirii wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka (Kushoto) wakati alipotembelea
Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.Pembeni yao ni Maafisa kutoka Wizara ya Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Mambo ya Nje.
. Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza
na mgeni wake wa Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry
Faure(hayupo pichani) alipotebela Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi , Prof. Anna Tibaijuka akizungumza (Kushoto) wakati Katibu wa Nchi wa
Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) wakati alipotembelea
Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.Pembeni yao ni Maafisa kutoka Wizara ya Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Mambo ya Nje.Picha
zote na Hussein Makame-MAELEZO




No comments:
Post a Comment