KAMPUNI ZA LUGUMI NA RAN IT ZATOA KOMPYUTA TANO NA FEDHA TASLIMU SHILINGI MILIONI 10 SHULE YA SEKONDARI PANGANI KIBAHA
Fatma
Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi
Enterprises za jijini Dar es salaam akikabidhi kompyuta 5 kwa Mkuu wa
wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba kwa ajili ya shule ya sekondari ya
Pangani wakati wa makabidhiano yaliyofanyika shuleni hapo leo mjini
Kibaha ambapo pia mwakilishi huyo alikabidhi kiasi cha fedha Taslimu
shilingi milioni 10,000,000 kwa ajili ya kununulia vifaa vya maabala
katika shule hiyo.katikati ni Mkuu wa shule hiyo Inocencia Mfuru(PICHA
NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KIBAHA)
Fatma
Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi
Enterprises za jijini Dar es salaam akikabidhi fedha taslimu shilingi
milioni 10,000,000 kwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba kwa
ajili ya kununulia vifaa vya maabara katika shule hiyo katikati ni Mkuu
wa shule hiyo Inocencia Mfuru
Fatma
Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi
Enterprises za jijini Dar es salaam akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo mara baada ya makabidhiano.
Mkuu
wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba wa tatu kutoka kushoto akiwa
pamoja na wanafunzi wawakilishi wakati wa makabidhiano hayo, kutoka
kulia ni Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution
Limited na Lugumi Enterprises,Mkuu wa shule hiyo Inocencia Mfuru na
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibaha Jenipher Omolo.




No comments:
Post a Comment