PIGO : GURUMO AFARIKI DUNIA HOSPITALI YA MUHIMBILI.
Wapenzi wa muziki wa dansi wamepatwa na Pigo kubwa kufuatia kifo cha mwanamuziki mkongwe ‘Maalim Muhidin Gurumo’ kilichotokea mchana wa leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili aliyokuwa amelazwa kwa matibabu.
Kwa mujibu wa taarifa zinasema kwamba Mzee Gurumo alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Awali Gurumo aliwahi kuwa kiongozi wa bendi kongwe nchini ya
Msondo Ngoma ambayo alipata kuiongoza kwa kipindi kirefu kabla ya kuamua
kustaafu muziki. Msiba upo nyumbani kwa marehemu eneo la Tabata
Makuburi.
Blogu ya Larrybway91 inawapa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
AMEEEEN!!!

HALI ILIVYO MCHANA HUU JIJINI DSM
Mvua nyepesinyepesi ikiendelea kunyesha asubuhi ya leo.
Eneo la jangwani likiwa lime jaa maji, wafanyakazi wa kampuni ya STRABAG wakiwa katia jitihada za kuokoa vifaa vyao.
Moja ya nyumba iliyopo kandokando ya mto msimbazi karibu kabisa na Daraja la Jangwani ikiwa imezungukwa na maji(Picha na Hudugu Ng'amilo wa mjengwablog.com)
No comments:
Post a Comment