BADO TIKETI MOJA YA KWENDA BRAZILI KUPITIA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI
Meneja
wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(kulia) akizungumza na wana habari
wakati wa droo ya Kumi na moja ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili
na Serengeti inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti mara baada ya
kuchezesha droo hiyo mapema leo katika ofisi za kampuni hiyo jijini Dar
es Salaam na anayemshuhudia ni Afisa Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya
Kubahatisha Tanzania Bakari Maggid(kushoto).
Meneja
wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo akizungumza kwa njia ya simu na
mmoja wa washindi wa droo ya kumi na moja ya Winda Safari ya Brazili na
Serengeti katika droo iliyofanyika mapema leo jijini Dar es Salaam
Meneja
wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(kulia) akihakiki jina na namba la
mshindi huku akishuhudiwa na Afisa Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya
Kubahatisha Tanzania Bakari Maggid(kushoto) wakati wa droo ya kumi na
moja ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti iliyochezeshwa leo jijini
Dar es Salaam.



No comments:
Post a Comment