Waziri wa Malisili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu atembelewa na Tajiri wa Nne Duniani Bw. Howard Buffet.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro
Nyalandu ( kushoto), akizungumza na Tajiri wa Nne Duniani, Bw Howard Buffet ( kulia),
akiwa na Wasaidizi wake ofisini Mpingo
House, Wizara ya Maliasili na Utalii.
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Mhe.
Lazaro Nyalandu ( kulia),akitafakali neno na Tajiri wa Nne Duniani, Bw. Howard
Buffet ( kushoto) alipotembelewa Ofisi kwake Mpingo House, Wizara ya Maliasili
na Utalii. Wengine ni wasaidizi wake alioambatana nao.
Waziri
wa
Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu (katikati) akielezea jambo
kwa Tajiri wa Nne Duniani, Bw. Howard Buffet ( kulia) ,
akiwa na msaidizi wake , mara baada ya kutembelewa Ofisini kwake Mpingo
House,
Wizara ya Malisili na Utalii.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu (kulia), akiongozana na Tajiri wa
Nne Duniani, Bw. Howard Buffet ( kushoto), mara baada ya mazungumzo waliyofanya
Ofisini kwake Mpingo House, Wizara ya Maliasili na Utalii.
No comments:
Post a Comment