Header Ads

Rais Kikwete atunuku tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi
walionyakua tuzo mbalimbali wakati wa hafla ya kutunuku Tuzo ya Rais ya
Mzalishaji Bora wa mwaka 2013 iliyofanyika katika Hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam jana ijumaa.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Powered by Blogger.