NMB Yatowa Darasa kwa Wafanyabiashara Wadogo, Wakati na Wajasiriamali Zanzibar
Meneja Kanda ya Dar-es-Salaam wa Banki ya NMB Tanzania Ndg. Salie Mlay,
akifungua mafunzo ya Wafanyabiashara Wadogo na Wakati Zanzibar, kupitia
Mtandao wao wa NMB Bussines Club, iliofanyika katika ukumbi wa hoteli
ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Baadhi ya Washiriki wa semina hiyo ya NMB Bussines Club wakimsikiliza
Meneja Kanda ya Dar-es Salaam akifungua semina hiyo kwa ajili ya kutowa
elimu kwa Wafanyabiashara hao.
Baadhi ya Wafanyabiashara wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini ukumbini hapo.
Afisa Mafunzo ya Elimu kwa Mlipa Kodi TRA Saleh Haji Pandu.akitowa mada
katika semina hiyo kuhusiana malipo ya kodi kwa Wafanyabiashara, wakati
wa semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean
View Kilimani.
No comments:
Post a Comment