NMB YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI JIJINI DAR ES SALAAM
Mtoa mada kuhusu kodi kutoka kampuni ya ‘Tanscott Taxation Service Ltd’ Bw. Hirji Abdallah akielezea kuhusu ulipaji wa kodi wakati wa semina ya wajasiriamali iliyondaliwa na benki ya NMB .Semina hiyo ulihudhuriwa na wanachama zaidi ya 400 wa NMB Business Club kutoka Wilaya ya Kinondoni, Ilala na Temeke hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Meneja wa NMB anayeshugulikia
Mikopo Midogo Midogo Mashaga Changarawe akiongea na wateja wa NMB katika semina
hiyo ya wajasiriamali iliyoandaliwa na benki ya NMB.
Mwanachama wa NMB Business Club Wilaya ya Temeke Bibi Pili Matimbwa
akichangia mada wakati wa semina hiyo.
Mwenyekiti wa NMB Business Club Wilaya
ya Kinondoni Bw. Ramadhani Njiku akielezea mafanikio waliyoyapata wanachama wa NMB Business Club Wilaya ya Kinondoni tangu kuanzishwa kwake.
Mwenyekiti wa NMB Business Club Wilaya
ya Ilala Bw. Henri Ignas Mrema akielezea jinsi wana NMB Business Club Kanda ya Kinondoni walivyonufaika na klabu hiyo tangu
kuanzishwa kwake na wanavyoendelea kufurahia huduma na bidhaa kutoka benki ya
NMB. Akitoa shukurani kwa niaba ya wanachama wake kwa uongozi wa benki ya NMB
kwa kuandaa semina ambazo zinatoa mafunzo yanayowajenga wanachama wa NMB
Business Club.
Mwenyekiti wa NMB Business Club
Kanda ya Temeke Bw. Ezekiel Matimo Gutti akiongea machache kuhusu
NMB Business Club Wilaya ya
Temeke tangu kuanzishwa kwake.






No comments:
Post a Comment