HomeHabariNape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete katika mkutano
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete katika mkutano
Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akimnadi mgombea ubunge
wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi Ridhiwani Kik wete
katika mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye Viwanja vya shule ya sekondari ya Changarika kata ya Mbwewe
jimboni humo, Ridhiwani Kikwete alishiriki yeye mwenyewe kijenga shule
hiyo wakati ya sekondari Changarika akiwa katibu wa uhamasishaji UVCCM
taifa na amewaomba wananchi wa kata hiyo kumkopesha imani yao kwake na
yeye atawalipa maendeleo.
Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi
Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Pongwe Kiona kata
ya Mbwewe leo katika mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo.
mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi
Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Juma Pinto Mkurugenzi
wa Jambo Concerption na William Malecela kulia. Sam wa Ukweli akitumbuiza katika mkutano wa kampeni kwenye kijiji cha Pongwe Kione. Msafiri Kafiri tutafika tu japo safari ni ndefu. Umati wa wananchi waliofika kwenye mkutano huo wa kampeni katika kijiji cha Pongwe Kiona. Shaibu Akwilombe katibu wa CCM mkoa wa Mtwara na mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa CCM akunguruma katika mkutano huo. Baadhi
ya wananchi wakiwa katika mkutano huo wa kampeni huku wakiwa
wameshikilia picha za mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM
Bw. Ridhiwani Kikwete. Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza na wananchi mbalimbali katika mkutano huo. Vijana wa chipukizi waksoma ngojera yao kumkaribisha Ridhiwani Kikwete katika mkutano huo. Kikundi cha ngoma aina ya Selo wakati wa mkutano huo. Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akimuombea kura mgombea
ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE- CHALINZE)
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete katika mkutano
Reviewed by crispaseve
on
1:01 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment