NAPE AMNADI RIDHIWANI
NAPE AMNADI RIDHIWANI

Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha
Mkoko wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za kumnadi kumgombea
Ubunge jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete
ambapo wananchi hao walielezwa kitendo cha kuzuiwa kupiga kura ni sawa
na ubakaji wa Demokrasia na CCM itakula sambamba na wabakaji wa
Demokrasia.

Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndiye Mratibu wa
kampeni za mgombea wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akionyesha kadi
Chadema iliyorudishwa na Ndugu Subira Mrisho ambaye alikuwa
mhamasishaji wa Chadema katika kijiji cha Mkoko,pia katika kata ya Msata
Katibu Kata wa Chadema amerejea CCM anaitwa Mrisho Issa pamoja na
mwananchama mwingine anayejulikana Kassim Msakamali wamerejea CCM

Katibu
wa CCM mkoa wa Mtwara Ndugu Shaibu Akwilombe akihutubia wakazi wa
kijiji cha Mkoko kwenye mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM Ndugu Ridhwani
Kikwete.

Mtela
Mwampamba akihutubia wakazi wa kijiji cha Mkoko na kuwasihi wananchi
hao kutambua mahusiano ya Tanzania na Chama Cha Mapinduzi.

Diwani
wa Kata ya Msata akiwahutubia wananchi wa kiji cha Mkoko wakati wa
kumtano wa kampeni wa kumnadi mgombea wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete.

Katibu
wa CCM Wilaya ya Kisarawe Ndugu Zena Mgaya akiwa na Shumia Sharif
mjumbe wa mkutano mkuu Taifa kutoka wilaya ya Bagamoyo na pia kiongozi
wa kampeni kata ya Msata wakiwa kwenye mkutano wa kampeni za CCM kijiji
cha Mkoko jimbo la Chalinze.

Wananchi
wa kijiji cha Mkoko wakionyesha picha za mgombea wao wa Ubunge Ndugu
Ridhiwani Kikwete wakati wa mkutano wa kampeni ulofanyika kijjini Mkoko.

Mapokezi ya katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye katika kijiji cha Mkoko.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahtubia wakazi wa kitongoji cha Madesa wakati wa kupiga kampeni za Ubunge.

Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahtubia wakazi wa kitongoji
cha Madesa wakati wa kupiga kampeni za Ubunge ambapo aliwaambia uongozi
si kitu cha kujaribiwa hivyo wananchi wakapige kura kwenye chama
kilichokuwa na uzoefu wa siasa na maendeleo kwa jumla.

Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kijiji cha Kihangaiko wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete.

Kikundi cha Upendo kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni za CCM
No comments:
Post a Comment