Home
Unlabelled
KIKAO CHA KUPITIA NA KUJADILI RASIMU YA SHERIA NDOGO KATIKA UPITISHWAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO, CHAFANYIKA MACHI 24, 2014
KIKAO CHA KUPITIA NA KUJADILI RASIMU YA SHERIA NDOGO KATIKA UPITISHWAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO, CHAFANYIKA MACHI 24, 2014
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Gairo Bw.George Mkoba (watatu kushoto), akitoa ufafanuzi wakati wa kikao cha mapitio ya rasimu ya sheria ndogo na hati wa mfuko wa afya ya jamii katika Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Morogoro kilichoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri hiyo (wakwanza kushoto), Mjumbe kutoka Wizara ya Afya Idara ya Sera na Mipango Bw.Richard Mnyenyelwa (watatu kulia), Mwanasheria Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Bw.Tumsime Kiliba, na Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya Bw.Metta Nahonyo. Kamati ya usimamizi wa huduma za afya wakisikiliza kwa umakini mada mbalimbali wakati wa kikao cha siku nne cha mapitio ya rasimu ya sheria ndogo na hati wa mfuko wa afya ya jamii katika Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Morogoro. Kamati ya usimamizi wa huduma za afya wakipitia rasimu ya sheria ndogo na hati wa mfuko wa afya ya jamii katika Halmashauri ya Wilaya ya Gairo wakati wa mkutano huo.Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bi Rose Ongara (kushoto), Afisa wa Mfuko huo Bw.Msifu Chenjela, na Afisa Masoko Msaidizi na Elimu kwa Umma Bi,Hawa Duguza.wakijadili sheria ya mfuko wa afya ya jamii.Wanakamati wakiwa kwenye picha ya pamoja.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE -GAIRO MOROGORO.
KIKAO CHA KUPITIA NA KUJADILI RASIMU YA SHERIA NDOGO KATIKA UPITISHWAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO, CHAFANYIKA MACHI 24, 2014
Reviewed by crispaseve
on
12:10 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment