Header Ads

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda anayekabiliwa na kesi ya uchochezi katika maeneo mbalimbali mjini Morogoro na kukaidi amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akirudishwa rumande baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali maombi yake ya marejeo dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda anayekabiliwa na kesi ya uchochezi katika maeneo mbalimbali mjini Morogoro na kukaidi amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akirudishwa rumande baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali maombi yake ya marejeo dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro. Picha na Michael Matemanga  
---
  Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda amekwaa kisiki mahakamani baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali maombi yake ya marejeo dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro.

No comments:

Powered by Blogger.