Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule amkabidhi Hati za kazi Mwakilishi wa Heshima wa Mauritius hapa nchini
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M.
Haule kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimkabidhi Bw. Syed Nazre Abbas Rizvi Hati
zinazomwezesha kufanya kazi kama Mwakilishi wa Heshima wa Mauritius
nchini Tanzania. Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Katibu Mkuu
tarehe 12 Machi, 2014.
Bw.
Syed Nazre Abbas Rizvi akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kupokea
kibali cha kuwa Mwakilishi wa Heshima wa Mauritius hapa nchini
Katibu Mkuu, Bw. Haule akizungumza na Bw. Syed Nazre Abbas Rizvi.
No comments:
Post a Comment