Header Ads

CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA KAMPASI YA DAR CHAENDELEA KUFANYA VIZURI, CHAWEKA MIFUMO YA KISASA YA KUFUATILIA KUDHIBITI UKIUKWAJI WA MAADILI.

 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Janet Mbene (katikati) akiwa ameongozana na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema (kulia) mara baada ya kukitembelea chuo hicho jijini Dar es salaam.
  Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema (mwenye suti nyeusi) akimwonesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene maeneo ya chuo hicho yaliyovamiwa ambayo sasa yamejengwa majengo ya biashara.

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Janet Mbene akiongea na viongozi wa Chuo cha elimu ya Biashara mara baada ya kutembelea maeneo mbalimbali ya chuo hicho jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Janet Mbene akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chuo cha elimu ya Biashara mara baada ya kuhitimisha ziara yake katika chuo hicho jijini Dar es salaam.

No comments:

Powered by Blogger.